DC Urambo afariki dunia

Stanley.

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2011
Posts
659
Reaction score
305
Mkuu wa wilaya Urambo Bi. Anna Magoha amefariki dunia. Source TBC.
 
anna magoha sec pale liwale ilipataje jina la marhemu?
 
ah... mungu amuweke mahala stahili....
 
Shonza ukuu wa wilaya ashapata mpaka dakika hii, wakimnyima watakuwa hawajamtendea haki kabisa maana anasota sana
 
Shonza ukuu wa wilaya ashapata mpaka dakika hii, wakimnyima watakuwa hawajamtendea haki kabisa maana anasota sana
Naye asibweteke tu, lazima ajipitishepitishe na kutabasamu kwa wakubwa ili wamuone!
 
...huyu ndo aliyekuwa igunga akachakachua kura zetu..? Oooh akarest mahali stahiki,poleni wafiwa Mungu awatie nguvu ktk wakati huu mgumu...
 
RIP DC,, Kuna maCCM kibao saizi yanapiga jaramba kwa furaha
 
...shonza anakazi maalum kwanza,akimaliza bwanamdogo atakuwa hayupo,so hana chake tena...
 
Mungu akuweke panapostahili DC,poleni wafiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…