acer
JF-Expert Member
- Apr 4, 2012
- 1,595
- 142
Ilikuwa ni siku ya furaha mno kwa wananchi wa jamii ya wafugaji kitongoji cha Endevesi, kata ya Njoro, Wilayani Same. Hapo Tar. 12/09/2017 wakati Mh. Rosemary Senyamule - DC wa Same akipokea majengo ya Shule ya msingi kwa niaba ya serikali.
Pamoja Na mradi wa Maji kwa ajili ya wananchi hao wasiopungua 6000.
Shule hiyo yenye madarasa 6, ofisi za walimu, vyoo Na nyumbani za walimu. Imejengwa kwa ushirikiano wa masista wa Grail, Joy of faith Na Korea Hope Foundation.
Jamii hii ya Endevesi walikuwa wakipata Huduma hizi umbali wa km. Zaidi ya 5 Na kupelekea watoto wengi kuwa watoro.
" Shule tumejengewa, serikali tutahakikisha tunapanga walimu Na shule hii inaanza 2018. Wananchi hakikisheni mnawaleta watoto shuleni. Nasi tutawachukulia hatua wote watakaokuwa watoro."
Aliwashukuru pia kwa kuunga mkono juhudi za Mh. Rais wa Tanzania katika kuhimiza elimu.