Tena mkoa wenyewe achague yy anataka mkoa ganiApewe mkoa kabisa.
weka picha tuone
Hii sasa shida! Wewe na mshana jr mmeanza kunipotezea! Mnashindwaje kuni-cc mnapoleta vitu adimu kama hivi nivione mapema! Nitawapiga faini kubwa mjue!Anafaa kupewa wilaya gani huyu?
Huyu ingemfaa wilaya ya kisarawe...
nilijisahau mkuu...
apewe tiketi ya kinyanganyoro cha urais kupitia Chama chenu hicho
Apewe Dodoma Urban awe karibu na bata za Dom.