Mr.kibulala
Member
- Nov 8, 2011
- 58
- 20
Mkuu wa wilaya ya misenyi,Kanali mstaafu Isa Njiku,amechanganyikiwa baada ya kuitisha mkutano na wananchi wa kata Kyaka na kuwachimba ni kwanini waliichagua Chadema ktk kijiji cha bulfani mwezi uliopita,na kuwaeleza kuwa wamefanya kosa kubwa kutoichagua CCM,baada ya maelezo hyo wananchi walianza kumzomea.ndipo akampatia nafac ya kuzungumza Mh.mbunge(asumpta) bla kujua akaanza kumwaga sera CCM wananchi wakaanza naye kumzomea.inshort CCM HAWANA LAO MISENYI.M4C.
Kwani nyie hamjui kuwa DC ni kada wa CCM? Wakuu wa Mikoa na Wilaya qualification ya kwanza ni kuwa Kada wa CCM na ndiyo priority ya kwanza katika kazi zao ni kuitetea Chama. Hivyo msishangae.