DC Makonda abanwa Kortini leo

Inachekesha...
DC hajui heshima yake analeta mambo ya mitaani...ndo amaibika sasa...
 
Hayo Maswali yalikuwa magumu sana kwa level ya Makonda.

Maana hafaha hata sifa ya kuwa mkuu wa wilaya wala kazi yake ni kupiga picha kuweka instagram
Mungu kama Hakimu alivyoona maswali ya wakili yalikuwa ya kipuuzi. Mleta mada badili Kicwa cha habari!
 
Kwa nini tusianzishe mahakama kama za akina "Judge Judy" ili mashauri ya namna hii yasikilizwe siku moja na kutolewa uamuzi? Mahakama inachukua muda mrefu kusikiliza kesi za watu wawili kutukanana?
 
 
huyo makonda anajidai anakwenda na kasi ya magufuri lakni hajui majukumu ya mbunge ni yapi ndio maana anaingilia kila kona.
 
Chanzo mwanahalisi kanjanja
Lete chanzo kingine
 
tueleze wewe ni i kimemsibu makonda sio unakuja na povu lako la OmO hapa.

swissme
 
Du Mwanahalisi?
 
W



Hamna swali gumu? Mangapi Makonda kajibu hapna? Sijui alafu unasema wakili wenu unamaanisha wakili wa kina nani?mwenye kesi ni kubenea tu
 
tueleze wewe ni i kimemsibu makonda sio unakuja na povu lako la OmO hapa.

swissme
Hapa kwa ajili ya kutukanana na kulumbana mku....hayo ni maoni yangu kama walivyochangia wadau wengine....
 
Kwa hiyo unataka kuniambia taratibu za mahkama mlalamikaji ndiye anayejitetea??? Jifunze tena unajiona bonge la mjuaaaji!!!!!
 

This is a biased reporting...and it is no wonder the source is MWANAHALISI ONLINE...
 
Yote aliyoyase

Kubenea hakukosea hata kidogo kumueleza ukweli huyo shoe shinner


Tusubiri tuone....baadhi yetu tunaisubiri hukumu hiyo kwa hamu kwani italeta ufumbuzi wa mengi...kama ni halali kumtamkia 'mpumbavu' au 'mjinga' DC au mtu yeyote au kama maneno hayo ni matusi au la..
 
PUMBABU KUMBE SIO GAZETI NI MWANAHALISI!!
 
Ukisikia tu kwenye kesi yako Wakili ni Kibatara.Kimbia....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…