Mkuu tulia kisha andika vizuri.Pamoja na kwamba watu waliosoma wanatakiwa kuwa kiigizo chema, baadhi yao wametajwa kuwa miongobi mwa wabakaji wa watoto wa like
Mkuu wa Wilaya mkoani Manyara Mhandisi Tumaini Magesa àmewaambia madiwani wa halm ya Kiteto kuwa hilo halikubaliki
DC Magesa amesema kamwe haoni sababu ya kusehewa watu hao na badala yake kabla ya kufikishwa kwenye sheria wananchi wawamwagie hapo maji kuonyesha kukerwa na kitendo hicho
Vitendo vya ubakaji Kiteto vimetajwa kuwa tishio hali iliyofaya Mkuu huyo wa Wilaya kuagiza hatua hiyo
Yatakuwa ni yale maji maji tulionayo wanaumeKumwagiwa maji....sijaelewa bado ..maji ya upupu au...kivipi yani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yatakuwa ni yale maji maji tulionayo wanaume
Sasa anatofauti gani na anaeshereherekea happy birthdayWazodolewe
MWAMBIENI KUWA CCM NDIO WANAWAHIFADHI WABAKAJI. KUNA MMOPJA ALIKUWA DIWANI KULE HAI LIKUWA NA KESI YA KUBAKA ALIPOHAMIA CCM KESI IKAFUTA AKAPEWA NAFASI TENA YA KUGOMBEA UDIWANIPamoja na kwamba watu waliosoma wanatakiwa kuwa kiigizo chema, baadhi yao wametajwa kuwa miongobi mwa wabakaji wa watoto wa like
Mkuu wa Wilaya mkoani Manyara Mhandisi Tumaini Magesa àmewaambia madiwani wa halm ya Kiteto kuwa hilo halikubaliki
DC Magesa amesema kamwe haoni sababu ya kusehewa watu hao na badala yake kabla ya kufikishwa kwenye sheria wananchi wawamwagie hapo maji kuonyesha kukerwa na kitendo hicho
Vitendo vya ubakaji Kiteto vimetajwa kuwa tishio hali iliyofaya Mkuu huyo wa Wilaya kuagiza hatua hiyo
IMENIKUMBUSHA CLIP MOJA NILIONA YA KIJANA MTATA (SI RIZKI) ANAJIITA DANI MTOTO WA MAMA WENZAKE WANAKIMBIZA MWIZI, MWIZI ALIPOPITA MBELE YAKE AKAMWAGIA MAJI YA SAMAKI ALIPOULIZWA AKAJIBU KWA SAUTI YA KISHOGA "NIMEMWAGIA SHOMBO LA SAMAKI"Kumwagiwa maji....sijaelewa bado ..maji ya upupu au...kivipi yani
Hahahahaaaa... Masihara hayo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]IMENIKUMBUSHA CLIP MOJA NILIONA YA KIJANA MTATA (SI RIZKI) ANAJIITA DANI MTOTO WA MAMA WENZAKE WANAKIMBIZA MWIZI, MWIZI ALIPOPITA MBELE YAKE AKAMWAGIA MAJI YA SAMAKI ALIPOULIZWA AKAJIBU KWA SAUTI YA KISHOGA "NIMEMWAGIA SHOMBO LA SAMAKI"
Mmmh!!! Sasa sherehe za birthday si zitaonekana ni ubakaji?Pamoja na kwamba watu waliosoma wanatakiwa kuwa kiigizo chema, baadhi yao wametajwa kuwa miongobi mwa wabakaji wa watoto wa like
Mkuu wa Wilaya mkoani Manyara Mhandisi Tumaini Magesa àmewaambia madiwani wa halm ya Kiteto kuwa hilo halikubaliki
DC Magesa amesema kamwe haoni sababu ya kusehewa watu hao na badala yake kabla ya kufikishwa kwenye sheria wananchi wawamwagie hapo maji kuonyesha kukerwa na kitendo hicho
Vitendo vya ubakaji Kiteto vimetajwa kuwa tishio hali iliyofaya Mkuu huyo wa Wilaya kuagiza hatua hiyo
Kutaka kuwa wa kwanza kutuma kuna raha yake bhana[emoji23]Mkuu tulia kisha andika vizuri.