Katika hali isiyokuwa ya kawaida Mkuu wa Wilaya ya Kiteto Bi. Martha J. Umbulla amenusurika kucharazwa mboko kwenye mkutano wa wananchi wa Kijiji cha Emarti baada ya kuhitilafiana juu ya mgogoro wa ardhi uliodumu kwa zaidi ya miaka saba akiwataka wakubaliane na mawazo yake.
Awali lengo la Mkuu wa Wailaya kwa wananchi hao lilikuwa ni kuwataka waondoke kwenye eneo linalodaiwa kuwa ni hifadhi ya Jamii kutokana na amri iliyotolewa na mahakama Kuu.
Hata hivyo uchunguzi uliofanywa umebaini kuwa kauli zinazotolewa na Serikali kuwa Mahakama iliamuru ni uongo baada ya kubainika kuwa Kesi hiyo badi haijaamuriwa na kwamba tar 13.2.2014 Halmashauri inatakiwa kuungurumisha kesi hiyo dhidi ya wakulima 50 ambao awali walioshitaki kupinga kuvunjia kitongoji chao.
Apigwe tu
Wapigwe tu kwani tumechoka na migogoro ya ardhi
Hayo mawazo yangu au ya kada wenu Pinda, au ndo yeye alokomaa mashavuwatu mliokomaa mashavu mnakuwa na mawazo ya ajabu sana.
Katika hali isiyokuwa ya
kawaida Mkuu wa Wilaya ya Kiteto Bi. Martha J. Umbulla amenusurika
kucharazwa mboko kwenye mkutano wa wananchi wa Kijiji cha Emarti baada
ya kuhitilafiana juu ya mgogoro wa ardhi uliodumu kwa zaidi ya miaka
saba akiwataka wakubaliane na mawazo yake.
Awali lengo la Mkuu wa Wailaya kwa wananchi hao lilikuwa ni kuwataka
waondoke kwenye eneo linalodaiwa kuwa ni hifadhi ya Jamii kutokana na
amri iliyotolewa na mahakama Kuu.
Hata hivyo uchunguzi uliofanywa umebaini kuwa kauli zinazotolewa na
Serikali kuwa Mahakama iliamuru ni uongo baada ya kubainika kuwa Kesi
hiyo badi haijaamuriwa na kwamba tar 13.2.2014 Halmashauri inatakiwa
kuungurumisha kesi hiyo dhidi ya wakulima 50 ambao awali walioshitaki
kupinga kuvunjia kitongoji chao.