M Mwanasazi JF-Expert Member Aug 5, 2012 239 55 Dec 12, 2012 #1 Wakuu wa jamvi naomba msaada, nina mtoto wangu wa miaka 2 nataka nimsajili day care yoyote hapa dar es salaam naomba mnisaidie kunijuza ni day care ipi nzuri na ni english medium na ada yake ni ya wastani, ili nimpeleke hapo, ahsanteni wakuu
Wakuu wa jamvi naomba msaada, nina mtoto wangu wa miaka 2 nataka nimsajili day care yoyote hapa dar es salaam naomba mnisaidie kunijuza ni day care ipi nzuri na ni english medium na ada yake ni ya wastani, ili nimpeleke hapo, ahsanteni wakuu
Makbel JF-Expert Member Aug 14, 2011 774 165 Dec 13, 2012 #3 Day care zipo nyingi mkuu! Fanya research kwanza kisha ukiriziki mojawapo mpeleke akapige kitabu.