Day care and nursery schools at dar es salaam

Mwanasazi

JF-Expert Member
Aug 5, 2012
239
55
Wakuu wa jamvi naomba msaada, nina mtoto wangu wa miaka 2 nataka nimsajili day care yoyote hapa dar es salaam naomba mnisaidie kunijuza ni day care ipi nzuri na ni english medium na ada yake ni ya wastani, ili nimpeleke hapo, ahsanteni wakuu
 
Day care zipo nyingi mkuu! Fanya research kwanza kisha ukiriziki mojawapo mpeleke akapige kitabu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom