Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,051
- 36,782
Acha basi kuwananga wenzako we umevuka na shilingi ngapi π ?Aliyesema 2025 atakuwa boss amevuka na Mia tatu
Tumsubir na 2026 kama ataropoka tena
Sina hela ila kuna mtu namdai πAcha basi kuwananga wenzako we umevuka na shilingi ngapi π ?
Nimecheka mpaka nimekaa chini π π πTayari nmesharusha bao langu la nyeto ya kwanza mwaka 2026 π₯
Happy New YearHEPI NIWU YIA FAMILI
Na kwako pia mpendwa, Mungu akupe Neema ya kufanya vizuri zaidi na zaidi zaidi upeo wa nahitaji na ufahamu wako..Heri ya mwaka mpya kwenu wanajukwaa wote. 2026 ukawe mwaka wa baraka na fanaka!
Tuma salamu za mwaka mpya kwa mwanajukwaa yoyote ambaye ungependa kumtakia heri.
View attachment 3523395
Yamwage yamwageeeeeeee, nani huyo?Natuma salamu zangu za dhati kwa crush wangu wa JF P namtakia mwaka mpya mwema na wenye baraka na Mungu asimpungukie katika maisha yake..!!
Ujumbe: Nampenda sana yeye ndio mchiziiiii wangu ππππ
Ulivyonidaka juu juu nyoko weeh πΉπΉπΉYamwage yamwageeeeeeee, nani huyo