Mars Rover
JF-Expert Member
- Apr 27, 2012
- 338
- 140
Hii ni kwa ajili ya Samsung Galaxy S na Galaxy Note.. Tupe tatizo lako tusaidiane
Hii ni kwa ajili ya Samsung Galaxy S na Galaxy Note.. Tupe tatizo lako tusaidiane
Niajer wana JF eti naomba nieleweshwe kuhusu hii kitu inaitwa RooT,, natumia Note 3.. ni android version 4.2.2 Nikiiroot inakuajer,, maana i knw nothing kuhuhu hiyoo Rooting... asante
Hii ni kwa ajili ya Samsung Galaxy S na Galaxy Note.. Tupe tatizo lako tusaidiane
Naomba kujua Samsung orignal ni zp? Zile zilizotengenezwa Vietnam au zile za Russia? Maana nina Samsung Note 3 imetengenezwa Vietnam ila nmeona rafk yangu ana Note 3 imetengenezwa Russia. zote zna specification na test zake zile zile. Nmeshndwa kuzitofautisha
Mkuu kama hujui lolote kuhusu rooting, usiharakie... Rooting inakupa access ya wewe au application kumodify system software..
Mara nyingi kwa mtumiaji wa simu kawaida rooting itakuwezesha kuondoa Applications ambazo zimekuja na simu kwa mfano Palmchat ya TECNO, Samsung App World, WatchON na zile za carrier kama at&t, Verizon, T-Mobile na Vodafone...
Kwa mtumiaji wa juu atakua na uwezo wa kubadili OS nzima, Recovery na kufanya Nandroid Backup
Nmetest camera quality ni zile zile, sensors zote ziko sawa na display quality ziko sawa. Sikutest imei. Tofauti ni price .Hivyo ni viwanda tu mkuu, umaweza kukutana na made in China ambayo ni genuine kabisa.. Kujua simu feki siyo kwa kuangalia inapotokea maana ata iPhone inatokea China ijapokua Apple wapo Marekani... Angalia kupitia Benchmarking Apps kama ANTUNTU au kama unazijua simu vizuri jaribu component moja moja ukianza na camera, sensors, display quality, pia unaweza kuicheki IMEI ya Note 3 yako kupitia Check IMEI - IMEI.info
Overheating ya samsung s4 nyuma ya camera inasababishwa na nini?
S4 yangu kuna saa inaheat sana!
Overheating ya samsung s4 nyuma ya camera inasababishwa na nini?
S4 yangu kuna saa inaheat sana!
0655500066jaman naomba msaada mimi natumia samsung note 1 ila aina google play na kunifanya mishindwe kudownload apps nazotaka na kila nikijaribu njia nyingine inaniletea inaleta massege "this browser is no longer supported.na kwa bahati mbaya kwenye simu haipo google play.nifanyaje naomba msaada
Ukiwa unafanya nini? Flashlight au gaming?
Nikiwa narun application nzito mara nyingi ndo inatokea!
Japo kuna muda pia nafanya hivo lakini inakuwa haioverheat, yaani kuna muda inatokea hivo na kuna muda haitokei!
Naomba msaada wa hotspot kwenye note 4 nikiturn on tethering Inaonekana na naweza kuconnect (mfano naweza connect computer from this note 4 lakini siwezi kutumia Internet kutokea kwenye note 4 japokuwa inaonekana na unaweza kuconnect)
Kuna umuhimu wa kuwa na ant virus ktk simu maana wengine wanasema simu inakuwa nzito sana
Hilo linategemea na uwezo wa simu yako, kutokana na ukweli kwamba kama simu yako in RAM chini ya 1GB usitumie Avast au Kaspersky Antivirus kwa sababu zinahitaji processing power kubwa na hua zinafanya kazi background..
Ila ni muhimu ukawa na Antivirus kama una mazoea ya ku-download Apps nje ya Play Store au nyimbo.. kwa sababu Avast kwa mfano huwa inafanya scanning ya Applications zinazokuwa installed kuangalia kama zina tabia ambazo ni haribifu kwa simu yako...