Akili Unazo! JF-Expert Member Joined Feb 18, 2009 Posts 3,930 Reaction score 4,937 Dec 4, 2017 #1 Kuna hili dawati nimekuwa nikilisikia lipo Polisi -Dawati la Jinsi na Watoto hivi hili majukumu yake ni Yapi Zaidi?? Mbona kama linafanya sawa na ambavyo Ustawi wa Jamii ni Jukumu lao... Mwenye uelewa Mpana wa hili aliweke hapa
Kuna hili dawati nimekuwa nikilisikia lipo Polisi -Dawati la Jinsi na Watoto hivi hili majukumu yake ni Yapi Zaidi?? Mbona kama linafanya sawa na ambavyo Ustawi wa Jamii ni Jukumu lao... Mwenye uelewa Mpana wa hili aliweke hapa
M mbikichooo JF-Expert Member Joined Feb 3, 2017 Posts 265 Reaction score 144 Dec 4, 2017 #2 Hawana lolote wanaharibu tu watoto kwa kushindwa kutofautisha mazingira ya kiafrika na wazungu ,in watetea maovu tu .
Hawana lolote wanaharibu tu watoto kwa kushindwa kutofautisha mazingira ya kiafrika na wazungu ,in watetea maovu tu .
Kiparuanda JF-Expert Member Joined Jul 23, 2013 Posts 1,630 Reaction score 2,498 Dec 4, 2017 #3 Usiombe upelekwe kwenye hiyo kitu ya kuitwa dawati. Ni shida