Sinza A leo ni siku ya sita hakuna maji ya bomba, na hakuna taharifa yoyote juu ya ukosekanaji wa maji hayo: kutoka mamlaka husika hata serikali ya mitaa hawatoi taharifa ya tatizo hizo; hivyo basi mlipuko wa magonjwa ukitokea sinza watu wasishangae habari ndio hiyo