DAWASCO na maji Kimara

mchaga asilia

Member
Joined
Apr 21, 2013
Posts
10
Reaction score
0
This is too much now, fungueni bhas hayo maji na sis wa KIMARA SUCA tupate maji bhaas...... Meneja na watu wako, mko hapo ofisin kwa niaba ya watu na sio kwa ajil ya matumbo yenu.

Tukichoka kulalamika tutaandamana nafkir hapo mtaelewa jinsi maji yalivyo na umuhimu kwa maisha ya watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…