Dawasco mnatuuwa

Dawasco mnatuuwa

Wamesema kuna upungufu wa maji mpaka huko mlandizi .maji yamepungua kutoka lita 800000 mpaka lita 500000 ila hawajasema kwanini yamepungua.ila wamesema mafundi wanashughulika
 
wamesema kuna upungufu wa maji mpaka huko mlandizi .maji yamepungua kutoka lita 800000 mpaka lita 500000 ila hawajasema kwanini yamepungua.ila wamesema mafundi wanashughulika

hata hizo 500000 situngegawiwa ? Kama hakuna kabisa tutaishi vipi ?
 
Ni kweli tabata wana wiki ya pili sasa maji hayatoki, wahusika ni vema mkatoa taarifa km kuna tatizo litakwisha lini?
 
Back
Top Bottom