KERO Dawasco Mbezi Kunduchi Bahari Beach hamna maji

KERO Dawasco Mbezi Kunduchi Bahari Beach hamna maji

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Heri

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2007
Posts
610
Reaction score
520
Katibu Mkuu - Maji na Waziri Maji, ni karibu mwezi sasa hatuna maji ya uhakika. Mafundi wanadai kuwa mitambo ya maji Wazo ni mibovu na hawajui lini yatapona. Ushauri wanao toa ni kuchimba visima kama unaweza na kuchimbia simtank.
 
Hapa nilipo maji yapo. Sema ukiwa unaishi Dar es Salaam, inatakiwa uwe na backup ya maji ya miezi mitatu
 
DAWASA MLISEMA KWENYE MSG TAREHE 21/8 KUTAKUA HAKUNA MAJI KWA MASAA 12 MATENGENEZO RUVU LAKINI MPAKA LEO 24/8 HAKUNA MAJI ILALA YOOTE HIVI NINI HASA
 
Niwasanue tu, ikitokea uchaguzi mkuu ukafanyika kama ilivyopangwa tujiandae na mgao wa umeme na maji. Business as usual imerejea
 
Poleni jamani ,yaani Haya mambo huwa yanakera Sana,
 
Wengine tayar walishapewa khanga , kofa na t-shirt wakachague ccm
Mwafrika wake utumwa tu.
 
Back
Top Bottom