Nawashauri DAWASCO wahakikishe ujazo wa haya magari ya majitaka na wahakikishe yameandikwa kwani huwa wanawadanganya wateja. Yalipie yakaguliwe na kuandikwa ujazo kama malori ya mchanga yanavyofanya.
Tumechoka kuibiwa na tunaomba iwepo bei elekezi kwa ujazo.