Yaani wiki 4 zilizopita niliwapost hapa immediately wakafungua maji sasa tukienda hivi tutakua hatufiki jamani,wao wana magari wanatuunzia ndoo 1 shilingi 500 sijui ndio hela ya uchaguzi inatafutwa kwa nguvu....huduma ambayo ilitakiwa kutolewa free ndio imekua ghali sana kuipata na hapa hapa Dar kuna watu hawajawahi kabisa katiwa maji kwani kuna watu wanaostahili kupata na wasio sathili kupata ? kisingizio ilikua mvua zimeharibu miundo mbinu,sasa hivi sijui watasemaje maji yamekua machafu sana ama ni nini ? Tuoneeni huruma sisi wananchi wa CCM jamani mtatuua mtaani hali mbaya watu ni kuugua typhoid kwa sana dengue ishapigwa gepu.....maana maji tunayotumia ni balaaa !
Kwa staili hii lazima tuungane hata kama ni kwa mtandao ya kijamii ama simu za mkononi watapata ujumbe ni kuanzisha campaign maaulu ya kuda kuboreshwa huduma za msingi za kijamii na kupatiwa kama haki ya kila raia wa Jamhuri wao wamekaa na wake zao wanapulizwa na kipupwe beach watoto wa kajamba nani wanahaha kutafuta maji na kununua maji ya chumvi 1000 kwa ndoo 1 na ndio hao hao wanatuuzia maji..........we should stand up and say this is enough, kuna watu hawasikii uchungu wa aina yoyote yaani wao wanasema kafie mbali , wao ni kujilimbikizia mali wao na familia zao !!!! Hii ni Tanzania yetu sote......we should be one katika kudai haki na hakuna u CCM,u CUF, ama u CHADEMADawasco na Tanesco majanga ya taifa hili.
Inakaribia wiki moja sasa maji hayatoki Mbezi
Beach area; tunangoja magazeti yalalamike.
mkuu wangu hivi majuzi nilikuwa dar katika shughuli zangu nilikuwa nazifanyia maeneo ya mbezi na kinondoni.
pale mbezi niliona magari yakiwa na matank makubwa nikaambiwa wanauza maji.na kule kinondoni niliona vitoroli vikiwa na madumu nikaambiwa wanauza maji.
_ukitazama hapa jf kwanini post nyingi zinamlenga tu mnyika eti ameshidwa kutatua kero ya maji?
swali langu kwako katika majimbo ya dar ni lipi lina kero kubwa ya maji?
na kwanini?
Dawasco na Tanesco majanga ya taifa hili.
Inakaribia wiki moja sasa maji hayatoki Mbezi
Beach area; tunangoja magazeti yalalamike.
Unga mkono hii https://www.change.org/petitions/wa...atiwe-huduma-ya-maji-safi-na-salama-kwa-usawaSubiri 2015 akiingia brother EL,shida ya maji itaisha.EL hana utani kwenye maisha bora kwa kila Mtanzania.
Poleni wakuu nafikiri tuwashinikize sasa wafanyie kazi matatizo ya jamii kwa njia hii :si afadhali walifungua ukayapata.Kuna eneo langu huko Kibaha ilinigharimu miezi sita kuunganishiwa maji tangu nilpolipia.Kituko sasa tuna wiki mbili hatujaona maji Lulanzi Picha ya Ndege Kibaha
Nipo karibu na bonmba la maji lilipopita kutoka Ruvu......sign hii tuunge mkono kudai hii haki kwa watanzania wote;Mkuu upo waapi kimara au??