Habari samahani wakuu first mimi ni mjamzito wa 5weeks nimeenda kupima utrasound nikaambiwa na PID Sugu na UTI nimeandikiwa sindano 7 za ceftriaxone na pamoja na co-amoxiclav tables ya siku saba nimeze baada ya kumaliza sindano saw itansaidia kupona kwa haraka na ujauzito wangu hautapata madhara?