dawa za minyoo kwa mama mjamzito | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

dawa za minyoo kwa mama mjamzito

Discussion in 'JF Doctor' started by paparaz, Jul 13, 2012.

 1. p

  paparaz Member

  #1
  Jul 13, 2012
  Joined: Jun 3, 2012
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari zenu wanaJF. Hivi mama mjamzito anaruhusiwa kumeza dawa za minyoo aina ya Albendazole? Madaktari naombeni ushauri wenu.
   
 2. measkron

  measkron JF-Expert Member

  #2
  Jul 13, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 3,713
  Likes Received: 365
  Trophy Points: 180
  Anaruhusiwa katika wiki ya 28 huwa wanapewa clinic dawa za minyoo na malaria
   
 3. 1

  1ladymartha New Member

  #3
  Oct 17, 2013
  Joined: May 6, 2013
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hi. anaruhusiwa ila ni baada ya mimba kutimiza miezi mitatu
   
Loading...