Dawa za kuweka ukeni

Habari za sa hizi wana jf.nilkuwa nauliza kunamadahara yoyote ukitumia dawaa ya kuweka ukeni pindi unapokuwa mjamzito....kwa ajili ya tiba ya miwasho??
Dawa gani hiyo ya kuweka ukeni? Inaitwaje? Umeipata wapi?
 
Mm najua dawa ya kuweka ukeni n ile yakufanya uchi mnato... Gusa unate.. Ndo wataka hyo??

Ya pili n vidonge jina nmelisahau ukiwa n fungus unavgumbukiza kwa bb na zngn tofaut za kumeza

..... Wanaume leten povu
 
Nimeficha omo hakuna povu lolote
 
Habari za sa hizi wana jf.nilkuwa nauliza kunamadahara yoyote ukitumia dawaa ya kuweka ukeni pindi unapokuwa mjamzito....kwa ajili ya tiba ya miwasho??
Hakuna madhara kabisa.Cha msingi ni Ku maintain personal hygiene upate matokeo bora ya tiba yako
 
Gynazole, nystatin na nyinginezo kama hizo, zinapatikana kwenye maduka ya dawa na hospitalini kwa wingi tu
Gynazole haina shida pia ni nzur sana kwa wanawake wajawazito wanaowashwa ukeni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom