Vijana mnaombwa kuungana kupiga vita matumizi ya dawa za kulevya kwani yamekua yakileta changamoto kubwa ya kuharibu maisha ya vijana hapa nchini hivyo basi taasisi ya vijana inayojulikana kama Tanzania Youth Against Drugs inaomba mjiunge nasi.vijana wenzenu katika kazi hii nzito