Mama Klaree
Member
- Sep 1, 2014
- 8
- 2
habari wadau. naomba kujua napataje dawa za kimasai za kupunguza mwili zile wanasema ukila unaharisha

Zile sio nzuri zina sumu.naomba ni pm nikupe dawa sitaki malipo ya pesa.
habari wadau. naomba kujua napataje dawa za kimasai za kupunguza mwili zile wanasema ukila unaharisha
asanteni sana wadau. shukrani ila sasa hayo mazoezi ya kufanya kupungua ndo yepi maana naruka ruka kutwa kama chura na nnahofia kupungia chini tu juu kukabaki. nafanyaje kupungia na kifua au juu in general