mwana ally
JF-Expert Member
- Jan 30, 2014
- 363
- 119
Wana Jf msaada wenu tafadhali.Kuna jirani yangu anasumbuliwa na vipele vinavyoota nyuma ya kiwiko cha mkono. na wakati mwingine anasema vinaota kwenye magoti. na vinamaumivu sana. ni kama vijipu vidogo lakini havina usaha ni vigumu. msaada jamani