hippocratessocrates kwa ufupi nimependezwa na maelezo yako,,
kuongezea,
toilet learning kwa watoto ni kitu ambacho anajifunza kutoka kwa jamii, kama jamii inayomzunguka haina toilet practice nzuri kwa ujumla mtoto anaweza pata matatizo,,,matatizo ya kimaumbile, kurithi, yapo lakini sio significant kutaja ya kwanza,,
nimefurahishwa na unyanyasaji wa watoto,, hili ni tatizo kubwa especially pale mlezi anapodhani kumpiga mtoto anaekojoa ni njia sahihi ya kumsaidi, ikumbukwe kama alitangulia kusema ndugu ni kwamba hawa watoto wanakua na umri wa just kuanzia miaka 4 ndo tunasema ni tatizo hivo bado wana umri mdogo kupigwa
mazingira mapya, hili ni tatizo kwa wengi, familia inapohamia makazi mapya au yale yaliyopo yanapompa hofu mtoto kutumia huduma hii ipasavyo, na hili tatizo litakua
Secondary Bedwetting kama atakua alishaweza kujitunza
aina ya choo, kilivo choo, usiri wa mtu anapokua chooni, mahali choo kilipo ndani au nje ni baadhi ya mambo ambayo yanaelekea kuathiri ukuaji wa mtoto katika swala zima la bladder control
tatizo linakua
Primary kama mtota haijatokea akaweza kujisitiri tangu kuzaliwa,,,
magonjwa ya njia ya mkojo pia yanaweza kumsababisha mtu akakosa bladder control,
kwa watu wazima ambao ni secondary, magonjwa ya uzeeni, ujauzito msongo wa mawazo ni baadhi tu kutaja ambayo yanaweza mpa mtu alose bladder control,
dawa, ,
almost always kwa watoto dawa ni training, psychotherapy, cuting down abuse if any, na kurekebisha mazingira ya choo yawe condusive kwa watoto
kama alivotangulia kusema kumwamsha usiku, kumreward mtoto baada ya kumpa zoezi ya kwamba kama ataweza kuamka mwenyewe atapewa zawadi, insentives
kuepuka vyakula vyenye vimiminika sana wakati wa jioni kabla ya kulala, especially cafein soda ,na the like,
epuka kumvalisha mtoto diepers baada ya umri huu maana itakua inamshawishi kuendelea kukojoa
epuka kuendelea kutumia hash ways maana izi zitakua another sort of abuse kwa mtoto
kama kweli unampenda hutampiga