Kwakweli ngoja tuoneUkipona ulete mrejesho......
Kwanini dawa? Badilin mtindo wa ulaji mambo yanakaa sawaJana nilifika pale hospital ya muhimbili kitengo cha tiba asili nikanunua hiyo dawa ya vidonda vya tumbo, kwa maelezo ya Dr natakiwa kunywa chupa 15 mpaka 20 , nilinunua chupa 5 za kuanzia
Kwahiyo ndugu zangu kwa wale mnaohangaika na gas, vidonda vya tumbo mnaweza kufika pale muhimbili na kujaribu dawa hii wengi wana sema wanapona na wanakula kila kitu
Mungu atusaidie tuondokane na mateso yao bila kusahau kufata masharti ya ulaji na unywaji asanteni
Sawa ngoja mm nitumie nione hali itaendajeBinafsi niliitumia sana Haikunisaidia.
Dose ilikuwa Chupa Saba kama sikosei 2022 chupa ilikuwa Tsh 6000.
Nilimtafuta chakua chakua ndio Daww yake ilinisaidia.
No reforms no election
Hali zetu unazijua kubadili mfumo wa maisha kwa asilimia 100 ni uongoKwanini dawa? Badilin mtindo wa ulaji mambo yanakaa sawa
So kisa Hali ya maisha uendlee kuteseka? Mpaka unasmart phone huwez kosa hela ya kula vinavyotakiwa kuliwaHali zetu unazijua kubadili mfumo wa maisha kwa asilimia 100 ni uongo
Asante sana nimeelewa vitu vingi sanaNdiyo.
Kichefuchefu au kutapika,tumbo kujaa gesi,vichomi tumboni hasa wakati wa usiku au ukichelewa kula,kupoteza hamu ya kula,kuhisi kitu kimekwama kooni ,kifua kuchoma ikiambatana na maumivu sehemu za uba u kiuno mpaka mgongo,kuharisha kinyesi cheusi na kutapika damu.
Ahsante sanaZipo hata uchovu ni dalili Moja wapo
Kizunguzungu
Gesi tumboni yani Ile ukila kidogo umeshiba
Tumba kupata moto hasa kwenye Kuta
Kupumua kwa shida
Ndoto mbaya usiku
Constipation
Kuhisi homa
Hofu ya kifo (uoga)
Kupungua umakini n.k
Nakushkuru na nitafata maelekezoNyongeza.
Jinsi ya kuepuka vidonda vya tumbo
1. Epuka kuchangia vikombe , vijiko , ambavyo havijaoshwa vizuri, epuka kunyonyana denda
2. Kunywa maji safi yaliyotibiwa, matunda na mboga mboga vioshwe vizuri
3. Kuwa na utaratibu mzuri wakula
4. Epuka matumizi holela ya vitu vyenye acid kali
5. Punguza stress
kuhusu Dalili hapo juu wameeleza
Matibabu
Matibabu ya vidonda vya tumbo hufuata baada ya kujua chanzo