Dawa ya UPELE ni ipi jamani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dawa ya UPELE ni ipi jamani?

Discussion in 'JF Doctor' started by tizo1, Jul 16, 2011.

 1. t

  tizo1 JF-Expert Member

  #1
  Jul 16, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 857
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Kwa muda mrefu nimekuwa nikisumbuliwa na upele mwilini.Je dawa ni ipi?Upele wenyewe una hali ya ukavu ukavu na kuwasha kwa mbali.Umetapakaa sehemu kubwa ya mwili wangu kasoro usoni.Naoga kwa siku mara mbili mpaka 3.NAOMBENI USHAURI NA DAWA JAMANI.MADAKTARI WA HIZI HOSPITAL ZA JIRANI NA HOME WANANIAMBIA MINYOO.NATIBIA KISHA SIPONI.MSAADA JAMANI TATIZO HILI NI MIEZ 5 SASA.
   
 2. JS

  JS JF-Expert Member

  #2
  Jul 16, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Nenda kwa daktari wa ngozi (dermatologist) upate tiba ya uhakika. Utakuwa assessed na skin condition yako na kupewa dawa itakayokutibu. Pale opposite na sapna mtaa wa samora kama unaishi dar kuna skin clinic ya baba mmoja mzuri sana anaitwa dr maro. Ukifika ulizia utaelekezwa. Utapewa appointment ya kuonana naye.
   
 3. Ozzie

  Ozzie JF-Expert Member

  #3
  Jul 16, 2011
  Joined: Oct 9, 2007
  Messages: 3,234
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  Mkuu hakuna ugonjwa wa jumla kama upele. Mamia ya magonjwa ya ngozi yanaweza yaka present na upele, lakini tiba zikawa tofauti. Mtafute Dr. Mgonda atakusaidia vizuri zaidi. Alikuwa mwalimu Muhimbili kama alivyo Dr. Maro. Hufanya clinic za ngozi Aga Khan. Kama wataka namba yake ya simu ni PM.
   
 4. t

  tizo1 JF-Expert Member

  #4
  Jul 16, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 857
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Asanten kwa mawazo!mimi nipo tabora manispaa.nasubiri mawazo zaid.
   
 5. Ozzie

  Ozzie JF-Expert Member

  #5
  Jul 16, 2011
  Joined: Oct 9, 2007
  Messages: 3,234
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  Mkuu kwa suala la ngozi hata ugonjwa wowote ni lazima uonane na daktari. Nimekwambia upele ni dalili ya magonjwa mengi ya ngozi na hata yasiyo ya ngozi. Hivyo kama unataka tiba ni lazima ukamfuate daktari. Kama huwezi basi hutasaidika.
   
 6. EvJ

  EvJ JF-Expert Member

  #6
  Jul 16, 2011
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 200
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  pole mpendwa,mi tatzo kama lako lilinitokea but nlkunywa dawa za minyoo we lakin wap,but later nikaenda hosp mwananyamala nikachomwa sndano moja tu ya arrage na nimepona,zmebak tu alama ndogo kwa sababu nlkuwa najkuna.
   
 7. r

  rakeyescarl JF-Expert Member

  #7
  Jul 16, 2011
  Joined: Dec 9, 2007
  Messages: 408
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Mgonjwa pole, hapo kwenye red,hivi telemedicine haiwezi kufanya kazi? lakini kama uko busy na vijipesa unavyo niambie umlipie Dr./specialist pato lake la siku 2 aje na flight akupe dawa arudi.
   
 8. r

  rakeyescarl JF-Expert Member

  #8
  Jul 16, 2011
  Joined: Dec 9, 2007
  Messages: 408
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Mgonjwa pole, hapo kwenye red,hivi telemedicine haiwezi kufanya kazi? lakini kama uko busy na vijipesa unavyo niambie umlipie Dr./specialist pato lake la siku 2 aje na flight akupe dawa arudi.
  [​IMG] By Ozzie [​IMG]
  Mkuu kwa suala la ngozi hata ugonjwa wowote ni lazima uonane na daktari. Nimekwambia upele ni dalili ya magonjwa mengi ya ngozi na hata yasiyo ya ngozi. Hivyo kama unataka tiba ni lazima ukamfuate daktari. Kama huwezi basi hutasaidika.
   
 9. t

  tizo1 JF-Expert Member

  #9
  Jul 22, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 857
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Nashukuru nimeonana wma daktar.wakachukua damu yangu ili kt check NDRL.Leo nimefata majibu wameandika NDRL-Reactive.Dokta akaniandikia Doxacycline pamoja na sabuni ya kuogea.Hakutaka kuniambia NDRL nini.Nauliza majibu haya kitaalamu yana maana gani?Dokta wangu yupo mtata sana hapendi kuulizwa ulizwa.NASUBIR MSAADA JAMANI.
   
 10. t

  tizo1 JF-Expert Member

  #10
  Jul 22, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 857
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Mbona kimya wataalamu?
   
 11. r

  rakeyescarl JF-Expert Member

  #11
  Jul 23, 2011
  Joined: Dec 9, 2007
  Messages: 408
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Kama uko nyumbani TZ hayo ni ya kwaida lakini ukiona hupati nafuu usisite kuuliza tena hapa,pole sana,
   
 12. N

  Nalonga JF-Expert Member

  #12
  Jul 23, 2011
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 216
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Mkuu hapo kwenye nyekundu nadhan wamechek VDRL,(Venereal Disease Research Laboratory) wameangalia kama una kaswende (syphilis).
   
 13. t

  tizo1 JF-Expert Member

  #13
  Jul 23, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 857
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Dawa yake ni ipi?maana majibu waliandika reactive ina maana gani kitaalamu?Reactive ni mzima au mgonjwa?Pia nina mpenzi mmoja tu ambaye ni wife wangu!Kama nina tatizo hebu mniambie wataalamu.
   
 14. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #14
  Jul 25, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,129
  Likes Received: 6,617
  Trophy Points: 280
  Pole sana.
   
 15. w

  wahi New Member

  #15
  Jul 25, 2011
  Joined: Apr 18, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kama upo tabora, nenda bugando, daktari wa ngozi yupo huko pia.
   
 16. LOOOK

  LOOOK JF-Expert Member

  #16
  Jul 25, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 3,392
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  jaribu kutafuta dawa moja vi inaitwa AZIWOK dose inakuwa vibox viwili ni vidonge,, sasa docta takushauri kutokana na ttatizo lako ila mara nyingi huwa unameza vidonge viwili tu kwa siku naunatakiwa umeze masaa mawili kabla hujala,kunakuwa na jumla ya vdonge kumi na mbili ambavyo hukaa sita sita kila kibox kimoja.ila dawa hii haipatikani kwenye viduka vidovidogo tafuta maduka makubwa inatibu maradhi yOte ya Venereal Diseases
   
 17. muwaha

  muwaha JF-Expert Member

  #17
  Jul 25, 2011
  Joined: May 13, 2009
  Messages: 743
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu fasta itafute bahari na uoge kwa muda wa wiki moja utakuwa umepona
   
 18. t

  tizo1 JF-Expert Member

  #18
  Jul 25, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 857
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Kwa hiyo VDRL ikiwa active ina maana gani?hebu niambieni ndugu zangu wataalamu!sasa natumia sabuni inaitwa amo sulfin pamoja na vidonge vya dox ndo nameza leo siku ya tatu nitawapa ripot ndugu zangu!
   
 19. t

  tizo1 JF-Expert Member

  #19
  Oct 19, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 857
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Jamani madakltari nimerudi tena.Baada ya kumeza vile vidöge aina ya doxy alivyongandikia daktari baada ya majibu kuonyesha VDRL - Reactive nilipata nafuu na vipele vikapungua kabisa.Lakini sasa vipele vimerud kwa kasi sana.je nirudie dose?pia kama ni magonjwa ya zinaa sima mahusiano na mwanamke wa nje kabisaa.Ushauri jamani kwa wale wenye taaluma ya utabibu.
   
 20. t

  tizo1 JF-Expert Member

  #20
  Oct 19, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 857
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Msaada jamani madaktari.
   
Loading...