Kuna baadhi ya NGOs za Kitaifa na Kimataifa zitakufa....na watu wengi watapoteza ajira
Ma-handsome boys na ma-sister duh! waliokuwa wakinyooshewa vidole kwa sababu za KaUgonjwa watarudi kwenye Chati
Vitendo vya ubakaji nahisi vitaongezeka .....sababu watu watakuwa hawana hofu tena
Viwanda vya kondom vita-dorora .....mauzo yatashuka kwa kasi ya ajabu!
Watumishi wa Mungu( Mapadri, Maaskofu, Mashehe) ....waliokuwa wanahubiri kwamba dawa ya Ukimwi haitapatikana kwa sababu zama hizi ni za mwisho sijui wataficha wapi nyuso zao!