Dawa ya sumu ya tandu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dawa ya sumu ya tandu

Discussion in 'JF Doctor' started by Kuku wa Kabanga, Jun 15, 2012.

 1. Kuku wa Kabanga

  Kuku wa Kabanga JF-Expert Member

  #1
  Jun 15, 2012
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 804
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 80
  habari wanajamvi,nahitaji kujua ni dawa gani naweza kutumia baada ya kung'atwa na tandu?
   
 2. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #2
  Jun 15, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,813
  Likes Received: 83,206
  Trophy Points: 280
  Sijui kama kuna dawa maalum, lakini usiwe na hofu sana hakutatokea chochote cha kutishia uhai wako, ila maumivu yakizidi kula vidonge vya kupunguza maumivu na kwenda hospitali haraka.
   
 3. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #3
  Jun 15, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  BAK, uko sahihi sana!! kitu cha kwanza kuepuka hapo ni hofu! kwani inakuza hali ya ugonjwa wakati kiuhalisia hakuna tatizo la kina sana!!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. Kuku wa Kabanga

  Kuku wa Kabanga JF-Expert Member

  #4
  Jun 15, 2012
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 804
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 80
  ahsanteni kwa michango yenu wakuu.
   
 5. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #5
  Jun 15, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  huyu tandu si nimesikia kuwa sumu yake kukutoka ni mpaka umkamate umchome majivu yake ndo uweke kwenye kidonda.....?..mdudu namuogopa huyu.....
   
 6. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #6
  Jun 16, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Preta namna ya kutengeneza hiyo dawa inakuwa kama jinsi ya kutengeneza Homeopathic Remedies ...

  "Homeopathy: Founded in the 19th century, a practice that is based on the concept that disease can be treated with minute doses of drugs thought capable of producing in healthy people the same symptoms as those of the disease being treated." ... http://www.medterms.com/script/main/art.asp?articlekey=3775

  I guess ... hata hiyo ya tandu iliyokuwa deactivated kwa kuichoma kwanza inaweza kuwa effective!!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. Ndukulusudikucho

  Ndukulusudikucho Member

  #7
  Jun 16, 2012
  Joined: Jun 14, 2012
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ...unaonaje ukijifanyia fumigation kwanza mwilini#jxt advisin
   
 8. A

  Amosi mmello New Member

  #8
  Feb 11, 2013
  Joined: Dec 3, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwahiyo mnamaanisha tandu hana dawa endapo atakung'ata? na mnamaanisha hana uwezo wa ku ua mtu?.isopokuwa ni maumivu tu? tunaomba mtusaidie. amosimmello@gmail.com
   
Loading...