Dawa ya polepole imepatikana Clouds Tv

kwa aliyebahatika kuwasikiliza hawa jamaa jana. aje atuhabarishe habari hapa. Niliwasikililiza kidogo tuu wakati Msando anasema yeye ni ACT- Maendeleo lakini kwa sasa hivi kwenye mabadiliko ni Lowasa! aliyebahatika kuwasikiliza kwa kina tafadhali tuhabarisheni! Pole pole haeleweki hata kwa chumvi na limao badooo haingiii
 
Siamini kama Polepole alibanwa pale Clouds! Kila mtu alikuwa anavutia upande wake. Nawashangaa wahojaji wengine kujifananisha na wale wa CNN, BBC au Aljazera wakati ni ziro!
 
PolePole rudisha laki 6 ulizowapiga nida kwa mgongo wa tyc.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…