Mpalakugenda
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 4,649
- 5,074
Kinachoendelea Clouds TV kinaonyesha jinsi gani polepole anavyotumika.
Yupo na albert msando na jamaa mwingine sijamjua
Yupo na albert msando na jamaa mwingine sijamjua
Dawa ipi?
Nionacho apa ni interruptions tuu
Huwezi ndani ya kipndi kimoja mndiscuss mada 3 anyway kwakua ni TV changa there is a room for improvement
Kuna jamaa anaitwa msando,anampa pole pole dawa za ngombe kila wakati
Ukiseme hivyo utoe na sababu inayokufanya useme hivyo! kihiyo weweAlbert msando ni wakili msomi kweli au wakuokota mtaani.. haki ya mama yule kama ni wakili basi inabidi arudi shule
Msondo anamuelekeo wa kichadema tena ya mbowe!CLOUS wanaleta MTU wa Upande mmoja :;wanaweka clip ya Dr Slaa
wakati hakuna MTU wa chadema !!!