Dawa ya nguvu za kiume hadharani bila malipo!

Dawa ya nguvu za kiume hadharani bila malipo!

Jamani vijana mnanivunja mbavu

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
0765377506
 

Attachments

  • 1414855123635.jpg
    1414855123635.jpg
    8.3 KB · Views: 976
Mi mwenyewe naihitaji lakini nipo mpakani mwa burundi na Tz cjui naweza kuipataje?
 
Wakuu nilipata PM nyingi kutoka kwa wale ambao walikuwa na matatizo hayo au wale ambao ndugu zao au rafiki zao hawako humu JF.

Ni hivi, yule bibi mtaalamu wa tiba hiyo ambaye nilianza kumtafuta toka 2011 ambapo nilitoa post yangu nimempata na kwa sasa hiyo dawa ingawa ni kwa uchache ninayo na ambaye anaihitaji anaweza kunipm bei yake ni nafuu Tsh 30,000 kwa dozi. Pia naomba wale ambao itawasaidia watoe ushuhuda hapa lengo si kufanya biashara bali ni kusaidiana kutatua tatizo ndio maana nimekubali kumtafutaili huyu mama ambaye kwa sasa anaishi NAMPULA. hili jina la IGP nimelipachika mimi kwani ni mchanganyiko wa unga wa miti ya aina nne tofauti, hivyo mwenyewe bibi hana jina la dawa

Ninayofuraha kuwahakikisheni kuwa nimeihakiki ni dawa nzuri mno ingawa inahitaji uvumilivu kwa siku 7 mpaka 10 kutokana na nguvu yake kuchosha mwili.
 
Nampura ndo wapi mkuu???? Anyway km huna lengo la kufanya biashara kwanini utoze hiyo tzs30000????? Think big.
 
Nampura ndo wapi mkuu???? Anyway km huna lengo la kufanya biashara kwanini utoze hiyo tzs30000????? Think big.
Mkuu kuna ambao tuko nao kwenye hii safari toka 2011, nilishindwa kuwapa mrejesho kutokana
na kuwatafuta watu wenye hiyo dawa hivyo naomba usihangaike kwa sababu dawa yenyewe
nimeichukua kwa ajili yao tu

Kama ingekuwa biashara siku nyingi ningekuwa nimewajibu lakini kwa kuwa lengo letu ni undugu
ndani ya JF nimefanya kwa utulivu na umakini mkubwa fikiria toka 2011, na si hivyo tu kuna mambo
kadhaa tunasaidiana humu ndani na wala hatujahitaji malipo.

NAMPULA iko msumbiji.
 
Naomba wale walioniPM nianze nao wanikumbushe tafadhali.
 
Tangu lini kabila la wamakuwa na wamakonde wanao ishi Nampula msumbiji wawe wagunduzi kama si changa la macho au kama si sawa na kikombe cha babu wa loliondo? na kama ni mtanzania anaishi msumbiji inakuwaje asianzie kutangaza dawa hiyo apa nyumbani tanzania? badala yake amekimbilIa kwa wamakuwa nampula?

Kwa wamakuwa wa msumbiji kule nampula kuwa wagunduzi wa dawa hiyo sidhani kama ni kweli ninacho jua wale watu hawana akili ya kujiongeza kabisaaaaa. hata kuchimba choo cha kujisaidia ni shiiiida kwao!! walio karibu na bahari ujisaidia pembezoni mwa bahari ili maji yakija watoe kinyesi, wali karibu na balabala ujisaidia njiani.na walio karibu na vichaka ujivujisha vichakani na kuachia matofari yao uko! wachache wame endelea.

mtu kama yule aje kuwa mgunduzi wa dawa kama si kuwapa watu sumu jaman! na hawa wamakonde kazi kujichora chora usoni tu na kuuza panya na konono! labda ungesema wamegundua konokono na panya ni mboga nzuri na ina nenepesha mimi ningekuelewa. Kibaya zaidi unasema dawa hiyo haina jina ni mchanganyiko wa miti! MMMMMMM!!! KAZI IPO
 
Back
Top Bottom