teddy mulokozi
Member
- Apr 29, 2018
- 22
- 6
Habari zenu,
Naomba kuuliza dawa ya mtoto kutembea.
Naomba kuuliza dawa ya mtoto kutembea.
Mwaka na nusuAna umri gani,,,,,,,?????
Muongezee vyakula vya dagaa na lishekamili.Wengine huchelewa uliza wazazi wako weweulianza kutembea ukiwa na miezi mingapi.Mnisaidie wandugu dawa ya mtoto kutembea
alianza kukaa na miezi mingapiUnataka atembee kwenda wapi? (Kidding)
BTW Mtoto wangu alichelewa sana kutembea, alianza kutembea akiwa na mwaka mmoja na miezi minne, ni wakiume, ila aliota meno mapema kuliko wenzake anaolingana nao walioanza kutembea wengine wakiwa na miezi 9 wengine mwaka