Dawa ya Msio

Ziege

JF-Expert Member
Nov 8, 2014
337
139
Nasumbuliwa sana na vipele ambavyo hujitokeza maendeo ya kichwani Kati ya kichogo na shingo
1457175268154.jpg
 
Nasumbuliwa sana na vipele ambavyo hujitokeza maendeo ya kichwani Kati ya kichogo na shingo View attachment 327542
Unatumia kitimoto mkuu? Kuna jamaa yangu alikuwa na tatizo Kama hilo..akaja kugundua ni kitimoto ndio ilikuwa inasababisha hiyo hali. Aliacha kitimoto na vipele vimekauka kabisa.
 
Ndulele unakata vipande viwili. kisha unapikicha au unapaka sehemu zenye vidonda.
 
Pole sana! Hebu tusubiri wataalam wakupe ushauri unaofaa!

Kama mtu huwezi kumsaidia si lazima upost kitu ambacho inaonyesha unafanya utoto mwingi na kutokustaarabika! Nimeona post ya baadhi ya watu hapo juu!
 
Back
Top Bottom