Dawa ya mpenzi msumbufu

Dawa ya mpenzi msumbufu

pongwer

Senior Member
Joined
Mar 19, 2015
Posts
174
Reaction score
26
KWA WANAUME ;


Ukiona Mpenzi Wako
Anakusumbua sumbua
Kila Siku Kukuomba Pesa
Ya Kununua Rangi Ya Kucha,
KAMNUNULIE KOPO LA
WINO WA # NEC (wino wa uchaguzi)


NOTE;
SIKU NJEMA KWAKO MPENDWA
 
moja ya starehe yangu kubwa ni kuombwa pesa na jinsia ya ke ila napata raha zaidi pale napoambiwa wewe mwanaume bahiliiiii.
 
kuna watu hum ni wehu kweli ha ha ha duh
 
Back
Top Bottom