Dawa ya mke asiye na adabu

Suluhu zote mbili ni "fake"
Kama una mawazo hayo futa.
Unakwenda kutengeneza mgogoro mkubwa kuliko hata ule wa MIDDLE EAST,kama huamini JARIBU.
 
Sitarajii kumfanyia hvy mume wangu Ila incase nimemkwaza na akaamua kufanya hvy

Aisee ndo nitampenda zaid maana natamani awe na mtu mwingine wa kunisaidia wa halali ninayemjua wa vichochoroni wanakera sana
Wazee wa FURSA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimekuelewa sana mkuu
Vipi na mdogo ako yuko hivo hivo ili niombe hifadh..in case[emoji3]
 
Wanawake woote wanafaa kuolewa.
Hayo wanayoyafanya wanafanya na wanaume na wanaowabadilisha ni JAMII.
Hakuna brand ya mke,malaya,mchepuko.
Sema jamii ndo huwabrand
 
Sitarajii kumfanyia hvy mume wangu Ila incase nimemkwaza na akaamua kufanya hvy

Aisee ndo nitampenda zaid maana natamani awe na mtu mwingine wa kunisaidia wa halali ninayemjua wa vichochoroni wanakera sana
Atakapoegemea zaidi kwa huyo mwenzio hapo ndio utakapojuta.
 
Sitarajii kumfanyia hvy mume wangu Ila incase nimemkwaza na akaamua kufanya hvy

Aisee ndo nitampenda zaid maana natamani awe na mtu mwingine wa kunisaidia wa halali ninayemjua wa vichochoroni wanakera sana
Unafaaa sana kwa ndoa za kislamu...... Huna dukuduku kabisa na mke mwenza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…