Nimekuelewa sana mkuuSitarajii kumfanyia hvy mume wangu Ila incase nimemkwaza na akaamua kufanya hvy
Aisee ndo nitampenda zaid maana natamani awe na mtu mwingine wa kunisaidia wa halali ninayemjua wa vichochoroni wanakera sana
Mtafutie mwenzake na hakikisha anamjua
Kila la kheriSitarajii kumfanyia hvy mume wangu Ila incase nimemkwaza na akaamua kufanya hvy
Aisee ndo nitampenda zaid maana natamani awe na mtu mwingine wa kunisaidia wa halali ninayemjua wa vichochoroni wanakera sana
Ukioa kwa washua jua utakua umeolewa wewe ukubali kuishi ukweniHayo ndio madhara ya kuoa uswahilini
Loool
Nimekumiss jamnKuna vitu ni rahisi sana kuviandika ila vikija kwenye uhalisia hata kama ni ndoa basi haitakuwa na maana tena.
Halafu pia niseme heshima iwe kwa wote na sio upande mmoja tu ndio utake kufanyiwa mazuri wakati upande wa shilingi wao ndio wanaongoza kwa hizo kauli mbovu.
AmiinKila la kheri