henry normal Senior Member Joined Jun 13, 2015 Posts 120 Reaction score 31 Aug 29, 2021 #1 Kwema waungwana samahani mtoto anasumbuliwa na minyoo naomba kwa yeyote anayefaamu dawa nzuri ya minyoo kwa mtoto minyoo mpaka anawashwa sehem za aja kubwa.
Kwema waungwana samahani mtoto anasumbuliwa na minyoo naomba kwa yeyote anayefaamu dawa nzuri ya minyoo kwa mtoto minyoo mpaka anawashwa sehem za aja kubwa.
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 75,525 Reaction score 185,663 Aug 30, 2021 #2 Nenda duka la dawa watakupa
Medecin Platinum Member Joined Nov 29, 2011 Posts 8,853 Reaction score 24,371 Aug 30, 2021 #3 Mpeleke hospitali mkuu watoto si wanatibiwa bure, na dawa za minyoo zipo sana.