Dawa ya mbu,oko maisha,maralia inaua

uta

Member
May 1, 2012
54
24
1469261264787.jpg




Parakito(natural mosquito Repellent)

-Anti mosquito Bracelet Reppelent band
1469261584121.jpg

-Dawa halisi kwa ajili ya kuzuia mbu,ina kidonge ambacho kimetengenezwa mafuta kutokana na mimea ya lavender kwa kiwango cha 22.8%
1469261331539.jpg

Matumizi
-Unavaaa mkononi au mguuni na yenyewe inaweza kukinga harufu ya homoni amabyo mbu anaifuata kukuuma.epuka maralia inaua.
1469261477245.jpg

Imethibitishwa
-Imethibitishwa na Tropical pesticcides Research Institute(TPRI) Arusha.

Bei
40,000/piece

Piga
0753-549459
 

Attachments

  • 1469261525101.jpg
    1469261525101.jpg
    6.9 KB · Views: 65
Kidonge tu cha 400/= dukani tumeshindwa kumudu kukinunua na kulia net
 
Kidonge tu cha 400/= dukani tumeshindwa kumudu kukinunua na kulia net
Vyandarua Vya Bure Wananchi Hawapati
Je? Hiyo Ya 40000/- Nani Anaweza Kumudu
Kuna Mtu Alikwenda Kijjini Kuuza Dawa Ya Meno Ya Livingi Forever Ndogo Bei 10000/-
Kijijini Mswaki Wa Mti Kula Kwa Tabu Anunue Dawa Hiyo
 
Back
Top Bottom