Oga, chana nywele, safisha kinywa, tinga miwani myeusi, vaa boksa safi, vaa nguo za kupendeza, hakikisha laki iko mfukoni, gheto liwe safi, funguo uchwara za gari la mchongo weka mezani, ning'iniza boksi la condom gheto. Usitongoze, jaribu kula kimasihara! Hiyo ndo dawa ya mapenzi