Dawa ya mapenzi yapatikana

Dawa ya mapenzi yapatikana

mkaskaz

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2018
Posts
707
Reaction score
969
Ni hiviii,

Acha shobo za kujifanya unajua sana kupenda. 'Falling in love' ni ulimbukeni tu wa mapenzi, hakuna jipya. Ili mapenzi yasikuumize unatakiwa kuwa 'kauzu'.

Mpende akupendae tena kwa kiwango kilekile anachokupimia. Asiyekupenda usimuwaze. Imeeleweka? Maandiko yenyewe yanasema pendaneni 'kwa akili'. Ukiongozwa na hisia nyuzi za maumivu utazileta kila siku humu JF.

Short & Clear.
FB_IMG_1635530185714.jpg
 
Nasemajeè...huu mwaka uishee tu hakuna namna
 
Huwa zinaanzaga mbwembwe kama hizi na vurugu mpaka itafika hatua unatafuta angalau anayepumua
 
Back
Top Bottom