Dawa ya Malafin ina madhara yoyote?

Forgotten

JF-Expert Member
Jul 20, 2018
3,346
10,220
Hii ni dawa ya Malaria niliyozoea kuitumia kuponya malaria miaka ya hapo nyuma, sikutumia dawa yoyote ya Malaria toka mwaka 2017 mpaka leo hii nimeugua Malaria.

Kwa sasa naona dawa hii inapendekezwa kwa wanawake wajawazito ili kuwa kinga tu kipindi cha ujauzito na si kama tiba.

Je, dawa hii inafaa kutumika na mtu wa jinsia yoyote ambaye hayupo allergic na dawa hii bila madhara yoyote?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inatumika kwa ajili ya prophylaxis..maana yake uwezo wake umeshuka..tumia first line drug atakayoipendekeza physician
 
Kuna Dawa aka Vidonge vya kziungu zisizo kuwa na madhara kweli? Hebu angalia Madhara ya dawa za Malafin haya hapo chini.

Side-effects
The following is a list of possible side-effects that may occur from all constituting ingredients of Malafin Tablet. This is not a comprehensive list. These side-effects are possible, but do not always occur. Some of the side-effects may be rare but serious. Consult your doctor if you observe any of the following side-effects, especially if they do not go away.
  • Headache
  • Urge to vomit
  • Diarrhea
  • Tiredness
  • Abnormal skin pigmentation
  • Vomiting
  • Abnormal bruising
  • Change in blood test results
  • Fever
  • Anemia
  • Dizziness
  • Weakness
  • Malafin Tablet may also cause side-effects not listed here.
If you notice other side-effects not listed above, contact your doctor for medical advice. You may also report side-effects to your local food and drug administration authority.
Malafin Tablet - Uses, Side-effects, Reviews, and Precautions - Medreich Sterilab - TabletWise

Hizi tu ni baadhi ya Madhara ya kutumia Dawa za Malafin yapo madhara mengi tu.
 
Kama una allergy ya surfur usitumie itakuletea kitu kinaitwa Stevejohson syndrome poa
 
Back
Top Bottom