mwandiga
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 1,506
- 664
Wanacheza hawa, hawa jamaa ni zaidi ya makomandoo wetu, kwanza tujiulize wanapita wapi kusafirisha ngozi,pembe,meno,pembe wakati mipakavyetu ina ulinzi wa kuaminika, na cha ajabu zaidi wanapita kwenye airport zetu zilizojaa ulinzi wa aina zote, mbwa,usalama wa taifa, polisi,wanajeshi,mgambo, camera,tra,uhamiaji, wengine jazia sasavndio huyu mtu mmoja,bado kamanda tosi yupo pia