Jitu jeusi
JF-Expert Member
- Oct 18, 2015
- 1,709
- 2,373
Habari wana jamvi..
Kutokana na magojwa kuongezeka kwa kasi kubwa sana duniani na hasa kwenye nchi zetu za Africa, leo tunadiscuss sawa moja muhimu sana nayo ni BANGI
FAIDA ZAKE & MAGOJWA INAYOTIBU
1. Ukivuta bangi husaidia kuondoa fikra mbaya kama, uzinzi na ubakaji, wizi n.k, maana ukishavutA ilaeta usingizi pia husababisha ugojwa wa mapafu--- hii haina dawa
2. Hutumika kama mbogo uko Jamaika, kwa maeneo ambayo mboga za majani za shida hii inaweza kua njia mbadala ya mbogamboga,-- nchin kwetu hairuhusiwi kabisaa, pia husababisha kuharisha kama ujaizoea.
3. Chanzo cha mapato, hii biashar kweli inalipa sana, kama ukibahatika kulima kama heka 5 za hii kitu utapata fedha nyingi sna & kuanzisha mradi mwingine halali
Kilo moja ya hii kitu huku kwetu ni sh 30,000Tsh---- ukikamatwa na police inakula kwako.
TAHADHARI
Hii kitu haina faida kama unavyo fikili bali huua mapafu na kuwa mwizi endapo ukikosa pesa ya kuninua
OMBI:
Naomba mtaje maeneo yanayo uza hii kitu ukiwa, Dar es salaam, Mwanza, Arusha, Mbeya, Tanga, Musoma, Shinyanga.
Maana nipo natafuta nikabust kidogo, msaada wako mwana janvi
ONYO: usiniige mimi, mm ninakibari cha kimataifa cha kuvuta hii kitu pia nina dactor wangu wa mapafu.