Hahahaaa ile ni hatari mama,utaua msukuma wa watu bure na kumdhalilisha pia maana mzee kapoteza heshima yake tayari.
Jiamini tu,natural ni nzuri zaidi japo najua unatania.

Limbwata aliyonayo mshumbusi ni kibokoooo atugawie na sie basii we nifah huitakiii😂😂😂😂😂😂😂😂😂