Wadau wa Jukwaa la JFD,
Napenda kuwajuza kuwa sasa hivi kuna hatari kubwa ya watu kupata mgogoro mkubwa zaidi wa kiafya kuhusiana na uingizwaji wa madawa ya kila aina nchini kwetu.
Sasa hivi kuna dawa toka Kenya iliyosambaa kwenye maduka ya Dawa(hasa huku Arusha) inayodaiwa kuongeza nguvu za Kiume, inauzwa kama njugu, na wenye maduka ya dawa kwa sasa hivi inawatajirisha. Sikujua shida ya nguvu kwa watu sas
Naomba kufahamu kwa wataalamu, je dawa za aina hii zimehakikiwa na Idara zetu za viwango vya madawa, na kuthibitishwa na mamlaka ya vyakula na Dawa?
Tusije tukawa tunatibu shida ya leo, huku tunaangamiza kizazi cha miaka 20 ijayo!
Nawahofia sana wanangu!
(Pichani: mfuko wa dawa hiyo inayoitwa Alvoy toka Kenya).
View attachment 75012View attachment 75013View attachment 75014
Mkuu Pakajimmy huko kwenu Arusha kuna Serikali inayofuatilia hayo madawa yanayotoka Kenya au kuna Serikali hewa ?
Broda pmwasyoke
Je iliwekwa wazi au walisema ni Shinikizo la Damu?
Issue ilikuwa magazetini wazi kabisa - Mheshimiwa kawa disgraced vibaya.
Huyo Waziri bado yupo ofisini hadi leo?Tangu Rais wa mwisho afariki magazeti yana uhuru ulioongezeka wa kuanika matukio kama haya na kuyaripoti kiukweli. Kigogo alishindwa kuinfluence waripoti uwongo kuhusu sababu ya kuzimia na kuhusu binti wa sekondari.
Huyo Waziri bado yupo ofisini hadi leo?