Dawa ya mwizi usilale tu mkuu unatafuta mganga na mganga mwenyewe analalamika kitaa kaibiwaNdg wanaJF, mwenzenu nimechoka kuvunjiwa na wezi kila wakati. Naomba mwenye kumjua mganga anyeweza kunipatia dawa ya kuzuia wezi kwenye biashara yangu, tafadhali njoo inbox unisaidie.
Mmm!Nunua bunduki, kabla hujalala washa risasi mbili hewani kisha ukiamka usiku kwenda haja washa mbili tena hewani, asubuhi ukiamka muda wa kunawa uso wekaa na gobore lako kibarazani unalipaka mafuta taratibu. Ndani ya mwezi tu mtaa wenu unakuwa kama vatikan kwa amani
Nunua bunduki, kabla hujalala washa risasi mbili hewani kisha ukiamka usiku kwenda haja washa mbili tena hewani, asubuhi ukiamka muda wa kunawa uso wekaa na gobore lako kibarazani unalipaka mafuta taratibu. Ndani ya mwezi tu mtaa wenu unakuwa kama vatikan kwa amani

AiseeeNunua bunduki, kabla hujalala washa risasi mbili hewani kisha ukiamka usiku kwenda haja washa mbili tena hewani, asubuhi ukiamka muda wa kunawa uso wekaa na gobore lako kibarazani unalipaka mafuta taratibu. Ndani ya mwezi tu mtaa wenu unakuwa kama vatikan kwa amani
Aisee nipo serious mwenye kufahamu atanisaidia, aje inboxNunua bunduki, kabla hujalala washa risasi mbili hewani kisha ukiamka usiku kwenda haja washa mbili tena hewani, asubuhi ukiamka muda wa kunawa uso wekaa na gobore lako kibarazani unalipaka mafuta taratibu. Ndani ya mwezi tu mtaa wenu unakuwa kama vatikan kwa amani
Sio kweli jamaa wameni8bia usiku huu na sina Mali kipandeDawa ni kutomiliki mali, mwizi hawezi kumuibia mtu masikini au fukara
Huwezi ibiwa kitu ambacho hunaSio kweli jamaa wameni8bia usiku huu na sina Mali kipande
We jamaa sina Mali mi ni maskini tu lakini jamaa wamekwiba hivyo vya kimaskini mkuuHuwezi ibiwa kitu ambacho huna
Mkuu usitukatushe tamaa bwanaDawa ya mwizi usilale tu mkuu unatafuta mganga na mganga mwenyewe analalamika kitaa kaibiwa
Mbona unatuharibia biasharaWeka walinzi. Kuna kampuni nyingi za ulinzi siku hizi. Mganga atakutapeli tu.