Dawa ya kuzuia muwasho wa nywele

Dawa ya kuzuia muwasho wa nywele

Rusumo one

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2018
Posts
3,549
Reaction score
4,491
Rejea somo tajwa.
Naomba kujua dawa ya muwasho wa ndevu baada ya kuzinyoa pia kichwa kwa sie wapiga dongo kitambo maana huwa KERO nikinyoa ndevu/kichwani pia wapi nitapata smoother na Bei zipoje?
Karibuni wajuvi
 
Usiwe unanyoa hovyo.
Ndevu zinyoe kwa kufuata uotaji wake kama unatumia viembe nyoa kutokea kidevuni kuja shingoni na sio shingoni kuja kidevuni utapata mapele tu na mamiwasho.

Vilevile kichwani hivyohivyo
 
Asante mkuu noted
 
Back
Top Bottom