Dawa ya kuwadhibiti ngedere shambani! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dawa ya kuwadhibiti ngedere shambani!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mgen, Jul 27, 2011.

 1. mgen

  mgen JF-Expert Member

  #1
  Jul 27, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 15,180
  Likes Received: 1,904
  Trophy Points: 280
  Tumia mbinu zote chini ya uwezo wako, Umpate ngedere mmoja akiwa hai, ukifanikiwa kumpata mnyoe kipala kichwani, kisha mpake rangi nyeupe na nyekundu! mshonee shati la kiroba mvike, mvishe na kengele shingoni. Muachie afuate wenzie! Wenzie wakimuona watamkimbia kila anavyo jitahidi kuwafuata na kijiji watahama! mpaka afe kama hawaja sahau watarudi! Magamba ruksa kutumia hiyo mbinu au ndio mnayotumia?
   
 2. A

  Alakara Armamasitai Verified User

  #2
  Jul 27, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 415
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  thanks very much mgen mbinu nzuri and you made my day
   
 3. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #3
  Jul 27, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  Haki za wanyama tafadhari!.
   
 4. mgen

  mgen JF-Expert Member

  #4
  Jul 27, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 15,180
  Likes Received: 1,904
  Trophy Points: 280
  Hee! lakini hata hivyo mkuu, haki ya ngedere inapoishia, Haki yangu inaanza mara hiyo!
   
Loading...