biarakeyz
Senior Member
- Jan 19, 2016
- 183
- 47
Habari zenu wakuu,
Nilikua naomba msaada wa kujua dawa zipi ambazo zinaweza kutibu minyoo ambayo tayari iko kwenye damu. Maana nilienda hospitali nikafanya kipimo cha full blood picture ikaonekana kwenye damu kuna minyoo.
Nimetumia dawa zote za minyoo zilizozoeleka kama albendazole, zentel, mebendazole lakini tatizo bado laendelea ikiambatana na kuvimba sehemu yoyote ya mwili endapo ikawasha na nikajikuna.
Pia sometimes hadi napoteza ile hamu ya kula. Mmoja akaniambia maybe nijaribu kutumia Azithromycin labda yaweza nisaidia.
Naombeni msaada wenu wa ushauri wakuu, dawa ipi nitumie yaweza nisaidia?